Naombeni kujua dawa ya kumaliza fangs ukutani
Kosa lilifanyika wakati wa ujenzi, taratibu hazikufuatwa, hivyo huwezi suluhu ya kudumu, utakuwa unapoza tu shida.
Utakwangua halafu unapiga plasta baadae utapaka rangi.
Suluhisho la kudumu ilitakiwa utumie kitu inaitwa DPC, ikiwa ni kifupi cha maneno ya kiingereza Damp Proof Course.