Ulazaji sahihi wa mabomba ya maji taka.

Updated on October 25, 2024 in Maji Taka
0 on October 25, 2024

Bomba la saizi ya 50mm, kwa kila urefu wa mita moja bomba linashuka 30mm.

Bomba la saizi ya 110mm, kwa kila urefu wa mita moja bomba linashuka 20mm.

Bomba la saizi ya 160mm, kwa kila urefu wa mita moja bomba linashuka 8mm.

Bomba la saizi ya 200mm, kwa kila urefu wa mita moja bomba linashuka 7mm.

 
  • Liked by
Reply