Kwa nini chemba ndogo(inspection chambers) za maji taka huwekwa?

Updated on October 16, 2024 in Maji Taka
0 on October 16, 2024

Chemba hizi huwekwa sababu kubwa ni kuzibua mfumo unapokuwa umeziba lakini pia kuna sababu kadhaa ukiacha hiyo iliyotajwa.

Huwekwa wapi?
1 : Huwekwa sehemu mabomba yanapokutana
2 : Huwekwa sehemu mabomba yanapobadili saizi
3 : Huwekwa sehemu ambayo slope inabadilika
4 : Huwekwa kila urefu wa bomba unapoisha
5 : Huwekwa kila uelekeo unapobadilika.

 
  • Liked by
Reply