Ukiwa nje ya nyumba kabla ya kuingia ndani ni +0.00
Ukiingia ndani kuna ngazi moja ya sentimita 15, ndo maana unaona imeandikwa +0.15(150mm)
Kutoka sakafu ya chini hadi landing(kituo cha ngazi) ni +1.70, kimo chake ni +1.70 – +0.15 = +1.55(1500mm)
Kuanzia kwenye landing hadi chini ya dirisha ni +2.50, kimo ni +2.50 – +1.70 = +0.80(800mm)
Kuanzia chini ya dirisha hadi juu ya dirisha ni +4.00, kimo chake ni +4.00 – +2.50 = +1.50(1500mm)
Kuanzia sakafu ya chini hadi sakafu ya juu ni +3.10, kimo chake ni +3.10 – +0.15 = +2.95(2950mm)
Kuanzia sakafu ya juu hadi katika handrail +4.10, kimo chake ni +4.10 – +3.10 = +1.00(1000mm)