Je, Unaelewa Nini Tunaposema Unit moja ya umeme?

Updated on September 27, 2024 in Umeme
0 on September 27, 2024

Umeme Ni energy ambayo hupimwa Katika Joules.
Unit moja ya umeme Ni 1kWh.

1kW= 1000Watts
Hivyo 1kWh = 1000Wh.

Mfano una taa ya Watt 100 na ukaiwasha kwa masaa 10,
100Watts x 10hr = 1000Whr ambayo ni sawa na unit moja. Hivyo unit moja itakuwa imeisha kwa kuwasha taa ya Watt 100 kwa masaa 10. Taa hizi zikiwa kumi ndani ya saa moja unit lazima itakuwa imeisha.

Kama Ukitaka kuibadili kwa sekunde,
1kWhr = 1000x60x60Ws = 3600000Ws

Hivyo kwa kila sekunde moja kuna Watts milioni moja laki sita katika Unit moja ya umeme..

 
  • Liked by
Reply