Magari upana wake huenda hadi mita mbili na nusu na kuzidi kidogo kutegemea na aina ya gari.
Ukichunguza kwa makini utaona barabara za lami za kupishana magari mwisho wa mstari wa kushoto hadi mwisho wa mstari wa kulia haizidi mita 7.
Ikimaanisha upande mmoja ni mita 3.5, hivyo unaongeza kidogo ili madereva wasije gonga geti au kuharibu taa.
Hivyo unaweza weka geti kuanzia mita 4 na kuendelea kutegemea na magari yanayoingia na kutoka katika jengo husika.