Mashine hii inaitwa Dumpy level(level machine).
Hutumika kuhakikisha ulalo uko sawa kwa kadri unavyohitaji.
Mashine hii inarahisisha kwa sababu inapima hata kwa umbali bila shida, ila inaweza kuwa mbovu halafu anaeitumia hajui kucheki kama ni nzima au mbovu.
Kama huna hii mashine utatumia nini ili kuhakikisha kazi yako iko sawa?
~ Tumia pima maji, njia hii pia inaweza isiwe inapima kwa usahihi kama mtu anaeitumia hajyi jinsi ya kuikagua.
~Au pipe levo, hii ni uhakika zaidi kwa sababu ni njia ya asili ila haiaweza kuchukua umbali mrefu kwa haraka itabidi uende kwa awamu hadi umalize kazi yako.
~Vile vile unaweza tumia leza mashine.