Mpangilio wa nondo katika beam inayoelea

Updated on December 28, 2024 in Nondo
0 on December 28, 2024

Hii ni picha ya beam iliyolala katika nguzo mbili, upande wa kulia beam imevuka yaani inaelea(cantiliver), upande wa kushoto beam inakomea katika nguzo.

Kuna mistari mieusi kati ya nguzo na nguzo ,mstari uko chini, upande wa kulia katika beam inayoelea mstari uko juu.

Hiyo mistari ni nondo, hivyo ni mpangilio wa nondo, ndo maana katika beam inayoelea msisitizo wa nondo huwa uko juu, na beam iliyoko kati ya nguzo na nguzo msisitizo wa nondo uko chini.

 
  • Liked by
Reply