Je, Unaijua Kabilo au Kobilo?

Updated on December 8, 2024 in Ukuta
0 on December 8, 2024

Hiki ni Kifaa asili kabisa ambacho hakiwezi kukupimia vibaya labda ushindwe kukitumia!

Hiki Kifaa kina sehemu tatu,kamba,kikoni, na kichuma Cha raundi.

.Kamba~Hii hutumika Kufungia kikoni na kichuma Cha raundi.

.Kikoni~Hiki ndo huning’inia chini ili kuweka uzito katika kamba na kuweza kupima wima wa kazi yako.

.Kichuma cha raundi~Hiki kina upana sawa na kipenyo Cha kikoni.

#Kinatumikaje?
~Unashika Hiki kichuma Cha raundi kwa kukandamiza sehemu ya juu ya Kazi unayopima,afu unashusha kikoni,
~Ukiona kikoni hakigusi uso wa kazi yako unayopima ujuwe sehemu ya juu imetoka Sana nje,
Ukiona kikoni kimelala Sana kwenye sehemu unayopima ujue sehemu ya juu imeingia Sana ndani.

#Inatakiwaje?
~Kikoni kinatakiwa kiguse kwa mbali Sana,wanaita nyuzi!

::::::::
Gemwaga Ndege 0754565136
Kujenga inavyotakiwa inawezekana

 
  • Liked by
Reply