Jua jinsi uzito katika jengo unavyogawanywa na kubebwa.

Updated on November 29, 2024 in Udongo
0 on November 29, 2024

Uzito wa slab unabebwa na beam,
Uzito wa beam unabebwa na nguzo,
Uzito wa nguzo unapokewa na kitako cha nguzo,
Kitako cha nguzo kinabebwa na udongo uliopo eneo husika.

 
  • Liked by
Reply