DPC na DPM

Updated on October 16, 2024 in Ukuta
0 on October 16, 2024

Jenga inavyotakiwa,
Tumia DPC wakati wa ujenzi wa nyumba yako.

Hiyo ya chini inaitwa DPM kwa ajili ya kuzuia unyevu unaotoka ardhini, inawekwa sakafu nzima.

Hiyo ya juu ni DPC kuzuia unyevu utokao ardhini, huwekwa kwenye kuta zote za boma, huwekwa chini ya kozi ya kwanza.

Katikati ni zege la jamvi.

 
  • Liked by
Reply